Bukuba ni mji unaopatikana katika mkoa wa kagera ndani ya Tanzania .bukoba hi imegawanyika katika wiliya mbili ambazo ni Bukoba njini na Bukoba vijinini ,ndani ya mkoa huu kuna matukio mbalimbali yaliyokuwa yakijitokeza ikiwemo gonjwa la ukimwi kuanzia wilayani hapa na hivi kalibuni limetokea janga jingine ambalo ni tetemeko la aridhi